Retina Detachment (Kubanduka kwa retina) ni nini??

Retina ni tabaka nyuma ya ndani ya jicho yenye tishu inayopokea mwanga na kupeleka ujumbe kwenye ubongo. Retina detachment inatokea pale retina inapobanduka kutoka katika ukuta wake. Kama isipotibiwa mapema inaweza kusababisha upofu wa kudumu.

Retina Detachment (Kubanduka kwa retina) Dalili

Kuona madoa doa na kusababisha uono hafifu.

Tiba Retina Detachment (Kubanduka kwa retina)

Mgonjwa mwenye hali hii anahitaji matibabu ya haraka. Matibabu yanajumuisha tiba ya mionzi ( laser) na ikilazimu upasuaji utafanyika.

View Our Location - Google Map