Keratoconus ni nini??

Keratoconus inatokea pale mboni ya jicho inapobadilika umbo lake na kusababisha miale ya mwanga kutofika vizuri kwenye retina ya jicho. Hivyo kuharibu uwezo wa kuona wa mgonjwa.

Keratoconus Dalili

Jicho kuona taswira zilizoharibika na kumpelekea mgonjwa kushindwa kufanya kazi za kawaida kama kusoma au kuendesha gari.

Tiba Keratoconus

Keratoconus inaweza kutibika kwa mionzi au katika hatua nyingine ya ugonjwa upasuaji wa kubadilisha mboni ya jicho ni lazima.

View Our Location - Google Map